DOWNLOAD ABBA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Abba
Artists
Genres Gospel
Country Rwanda

Abba Lyrics

Kwa kuwa nilikujua sijuti
Na kamwe sitajuta kukufuata
Kwa sababu ulikuwa mzuri
ABBA My Father, You are so good to me
Kwa sababu ilikuwa mzuri , muzuri mzuri
ABBA My Father, You are so good Me

Ajabu, ajabu
Wewe ni ajabu, ajabu
Ajabu, ajabu
Wewe ni ajabu, ajabu

Unasimama na neno lako, ili litimie
Unanifundisha kila siku kuwa wakati wako ndio unanijia
I believe, Yes I trust in You
You are  faithfull God
Wewe ni ajabu
Kwa sababu Ulikuwa mzuri, muzuri mzuri
ABBA My Father, You are so good to me

Ajabu, ajabu
Wewe ni ajabu, ajabu
Ajabu, ajabu
Wewe ni ajabu, ajabu

Wewe ni ajabu, hauseme uwongo
Wewe ni ajabu,upendo wako unanificha
Wewe ni ajabu, hawuseme uwongo
Wewe ni ajabu, neno lako linanifariji

ABBA  My Father my Father
You are so good to me
Wewe ni ajabu
Wewe ni ajabu
Wewe ni ajabu
Wewe ni ajabu