DOWNLOAD BAZENGA VILE INAFAA (TRIO MIO COVER) - MP3, MP4 & LYRICS

Title Bazenga Vile Inafaa (Trio Mio Cover)
Artists
Genres Rap
Country Kenya

Bazenga Vile Inafaa (Trio Mio Cover) Lyrics

Yeah! Kigs thee
Kigs bazenga vile inafaa 
Daily nasesa vile inafaa 
Nimeteveva vile inafaa

Seti kapienga vile inafaa 
Ka ni manguna nimekemba kadhaa 
Tekwa na kunyi si tulikataa 
Piga mashughli na watu masuti 
Nadunga tu hoodie jo vile inafaa

Kigs bazenga vile inafaa 
Daily nasesa vile inafaa 
Nimeteveva vile inafaa 
Seti kapienga vile inafaa

Ka ni manguna nimekemba kadhaa 
Tekwa na kunyi si tulikataa 
Piga mashughli na watu masuti 
Nadunga tu hoodie jo vile inafaa

Tenje ya mrazi quicky mistiri 
Vako za mnati looku ni ticky
Kutu mitaani tricky mitini 
Sanif majani si ati ni nini

Pinji wa jiji vidole ni sticky 
Machizi utachwandwa risasi kwa kidney 
Hasira za mkizi mawera na tizi 
Niko busy mjini nasaka shilingi

Nasaka chapaa vile inafaa 
Nasonga na saa, bazenga wa mtaa 
Nateketea ni kama nitetiwa ngataa 
Tukipatana unajua ni balaa

Ngori ni genje 
Nijenge matenje walenje  
Vibenje zisonge masaa 
Rende ya madenge wa genge

Senge anatiliwa tembe, vile inafaa 
Kigs bazenga vile inafaa 
Daily nasesa vile inafaa 
Nimeteveva vile inafaa

Seti kapienga vile inafaa 
Ka ni manguna nimekemba kadhaa 
Tekwa na kunyi si tulikataa 
Piga mashughli na watu masuti 
Nadunga tu hoodie jo vile inafaa

Kigs bazenga vile inafaa 
Daily nasesa vile inafaa 
Nimeteveva vile inafaa 
Seti kapienga vile inafaa

Ka ni manguna nimekemba kadhaa 
Tekwa na kunyi si tulikataa 
Piga mashughli na watu masuti 
Nadunga tu hoodie jo vile inafaa 
Kigs, kigs, kigs