DOWNLOAD ASANTE BY DOGO JANJA, LADY JAYDEE - MP3, MP4 & LYRICS

Asante Lyrics

Sijui nini nikupatie
Unanipenda sana mie
Kwa nini unihurumie
Nimekosea vingi mie

Najua napo toka
Mbele naona giza
Hata nikindondoka
Malaika unawaagiza

Baba, asante
Baba, asante

Asante, asante
Asante Mungu Baba 
Asante, asante
Asante Mungu Baba

Ni wewe tu ule niinua juu
Ni wewe tu unanifuta machozi

Unaniondoa wasiwasi
Shida zangu aliye juu
Ukaniongoza ukanibeba 
Ukanipa na faraja uuh

Ha ni wewe tu
Ni wewe baba 
Ni wewe tu

Ndie wewe ulinishika mkono
Ukaniongoza ukanivusha salama

Asante, asante
Asante Mungu Baba 
Asante, asante
Asante Mungu Baba

Mimi ni shabiki mkubwa
Kazi yako Mungu (Ni wewe Baba)
Mimi ni shabiki mkubwa
Kazi yako Mungu (Ni wewe Baba)

Baba, asante
Baba, asante

Asante, Asante, Asante!

Asante, asante
Asante Mungu Baba 
Asante, asante
Asante Mungu Baba

Asante Baba