DOWNLOAD HALLELUYA BY JESSICA HONORE - MP3, MP4 & LYRICS

Halleluya Lyrics

Sifa za bwana zivume
Na watu wote wajue 
Halleluya

Halleluya, Halleluya
Sifa za bwana zivume
Halleluya, Halleluya
Kwa yote anayoyatenda

Halleluya, Halleluya
Sifa za bwana zivume
Halleluya, Halleluya
Kwa yote anayoyatenda

Katika shida yangu
Nalimuita Bwana
Naye Bwana alisikia
Na kuniitikia

Bwana yu upande wangu sitaogopa 
Mwanadamu atanitenda nini?

Mkono wa kuume wa Bwana
Umenishikilia
Kwa mkono wake Bwana
Ninatenda makuu

Sitakufa nitaishi
Nami nitasimulia
Matendo makuu ya Bwana
Aliyonitendea

Halleluya, Halleluya
Sifa za bwana zivume
Halleluya, Halleluya
Kwa yote anayoyatenda

Halleluya, Halleluya
Sifa za bwana zivume
Halleluya, Halleluya
Kwa yote anayoyatenda

Shukuruni bwana kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake, za milele
Tuliokoka na tuseme sasa
Ya kwamba fadhili zake, za milele

--
--