DOWNLOAD NITATULIA BY JESSICA HONORE - MP3, MP4 & LYRICS

Nitatulia Lyrics

Bwana wangu, jabari langu
Uzima wangu, amani yangu
Jibu langu

Nitatulia, nitanyamaza
Ahadi zako Mungu zinatimia
Nitanyamaza, nitatulia
Ahadi zako Mungu zinatimia

Eeh Baba, eeeh Yahweh

Umesema nitulie, niuone mkono wako
Maana ahadi zako zinatimia
Mavumbini wainua, na wakuu waketisha
Ahadi zako Mungu zinatimia

Nitatulia, nitanyamaza
Ahadi zako Mungu zinatimia
Nitatulia , Nitanyamaza
Ahadi zako Mungu zinatimia

Ooh, Hallelujah, Hallelujah

Wewe hauwahi wala hauchelewi
Unajibu kwa wakati unatimiza
Jibu lako ni ndio na tena Amina
Ila kuna kusubiri, unatimiza

Nitatulia  Nitanyamaza
Ahadi zako Mungu zinatimia
Nitatulia , Nitanyamaza
Ahadi zako Mungu zinatimia

Ukisema ndio, hakuna wa kupinga
Neno halirudi bure Unatimiza
Mtetezi wangu, pigana vita vyangu
Na ijulikane upo, Mungu pamoja Nami

Mtetezi wangu pigana vita vyangu
Na ijulikane upo Mungu pamoja Nami

Nitatulia, nitanyamaza
Ahadi zako Mungu zinatimia
Nitatulia, nitanyamaza
Ahadi zako Mungu zinatimia

Unatimiza.....
(Still Alive)