DOWNLOAD MAKUU BY JIMMY GAIT - MP3, MP4 & LYRICS

Makuu Lyrics

Piga makofi, piga makofi
Piga makofi yooh
Piga makofi, piga makofi
Piga makofi yooh

Piga makofi, piga makofi
Piga makofi yooh(Kwa Yesu)
Piga makofi, piga makofi
Piga makofi yooh(Kwa Yesu)

Wewe Mungu ni mkuu sana
Unatenda makuu
Wewe Mungu ni mkuu sana
Unatenda makuu

Wewe Mungu ni mkuu sana
Unatenda makuu
Wewe Mungu ni mkuu sana
Unatenda makuu

U-unatenda makuu(Ewe Mungu)
U-unatenda makuu(Yajulikana)
U-unatenda makuu(Dunia nzima)
U-unatenda makuu(Umejibu maombi)

U-unatenda makuu(tunakwamini tu)
U-unatenda makuu

Twakuinua, twakusujudu Mungu
Wewe unastahili sifa zote
Nguvu zako, zabadilisha maisha
Kuja sasa badilisha

Wewe Mungu ni mkuu sana
Unatenda makuu
Wewe Mungu ni mkuu sana
Unatenda makuu

Wewe Mungu ni mkuu sana
Unatenda makuu
Wewe Mungu ni mkuu sana
Unatenda makuu

Piga makofi, piga makofi
Piga makofi yooh
Piga makofi, piga makofi
Piga makofi yooh

Piga makofi, piga makofi
Piga makofi yooh(Kwa Yesu)
Piga makofi, piga makofi
Piga makofi yooh(Kwa Yesu)

U-unatenda makuu(Ewe Mungu)
U-unatenda makuu(Yajulikana)
U-unatenda makuu(Dunia nzima)
U-unatenda makuu

Wewe Mungu ni mkuu sana
Unatenda makuu
Wewe Mungu ni mkuu sana
Unatenda makuu

Wewe Mungu ni mkuu sana
Unatenda makuu
Wewe Mungu ni mkuu sana
Unatenda makuu