DOWNLOAD UNCHANGEABLE GOD BY JOE PRAIZE - MP3, MP4 & LYRICS

Title Unchangeable God
Artists Joe Praize
Genres Gospel
Country Nigeria

Unchangeable God Lyrics

Kuna Yule aliyenipenda si kwa ajili ya Mali
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanionesha Upendo ambao sijaona kwa wengine
Huyu halali wala hasinzihi hata leo hajawai kunichoka Eeeeeeh

Eeeeeeh Bwana
Sikumtafuta
Sikumtafuta ni yeye aliyekuja kwangu
Ingawaje dhambi makosa yangu Yesu alinipenda wa kwanza
Nikamwamini yeye anisamehe dhambi
Hallelujah
Upendo wake Yesu wanishangaza

Vigelegele

Yesu huyu Yesu rafiki kwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda

Yesu Kristo
Yesu Kristo Bwana wangu ni ra fi ki mwema

Yesu huyu Yesu rafiki kwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda