DOWNLOAD SUPER WOMAN BY JOEL LWAGA - MP3, MP4 & LYRICS

Super Woman Lyrics

(Ayolizer)
Mwanamke anaweza bila kuwezeshwa
Anazo nguvu na maarifa ya kujiendesha
Uvumilivu na kujituma ndivyo vyake dira
Familia jamii inakutegemea
Taifa ulimwengu unauhudumia usichoke
Kaza moyo you're my super woman

You're my super woman
You're my super woman
Eeei super woman (Super)
Super woman (Super)
Super woman

You're my super woman
You're my super woman
Eeei super woman (Super)
Super woman (Super)
Super woman