DOWNLOAD NIKO NA WEWE BY JOHN NYAMBU - MP3, MP4 & LYRICS

Title Niko na Wewe
Artists John Nyambu
Genres Gospel
Country Kenya

Niko na Wewe Lyrics

Ni 18 tangu tuonane mama
17 sasa mziki nazidi andika
Ni 18 tangu tuonane mama
17 mziki ...

Nanyi mkaenda
Nikapata uchungu wa moyo
Nikalia sana
Nikitumai kilio kitaskika

Nanyi mkaenda
Nikapata uchungu wa moyo
Nikalia sana
Nikitumai kilio kitaskika

Naye akasema usilie mwana
Yuko na wewe, yuko na wewe
Naye akasema usilie mwana
Yuko na wewe, yuko na wewe

Nashukuru Mungu hakuniacha
Yuko pamoja nami
Nashukuru Mungu hakuniacha
Yuko pamoja nami

Hadi pale tupatane
Kumbuka Muumba aliye Juu
Akupenda sana, akujali

Maisha safari wapo wengi nao abiria we
Wachache wazuri ujichunge nayo
Ndio dunia mwana

Ahadi zake wa thamani
Hazibadiliki pale toka zamani
Jipe moyo tembea kwa imani
Kumbuka asema yuko nawe

Yuko na wewe aah
Yuko na wewe

Nashukuru Mungu hakuniacha
Yuko pamoja nami
Nashukuru Mungu hakuniacha
Yuko pamoja nami

Nashukuru Mungu hakuniacha
Yuko pamoja nami
Nashukuru Mungu hakuniacha
Yuko pamoja nami