DOWNLOAD TEMBEA NAMI BY JOHN NYAMBU , PEACE KIMEMIA - MP3, MP4 & LYRICS

Tembea Nami Lyrics

Mi naomba kwa yote safari
Utatembea nae nami 
Katika uovu nalo giza 
Yesu we unilinde

Nikae nawe Kristo
Mi nataka kuwa na wewe
Katika kila jambo na hali 
Yesu tembea nami

Tembea Nami
Usinawache pekee 
Nishike wangu mkono 
Uniongoze

Si mara moja au mbili 
Naomba uniongoze wakati wote
Ninapohisi upweke 
Uwepo wako uwe hakikisho Unami

Sitachoka kungoja na kuamini
Uliyo yasema kwangu mimi
Mapenzi yako pekee ewe Yesu
Mimi naomba yatimie (Tembea nami)

Tembea nami, usinawache pekee 
Nishike wangu mkono, uniongoze
Tembea nami, usinawache pekee 
Nishike wangu mkono, uniongoze

Hatua za mwenye haki
Zaongozwa na wewe Bwana 
Unarejesha Nguvu 
Kwa waaminie ndani yako

Sina uwezo
Mi naomba nguvu zako
Peke yangu mimi
Siwezi kufika mwisho

Mwenye nguvu, uwezo, tembea nami 
Watembeao nawe mwisho wa safari hufika
Mwenye nguvu, uwezo, tembea nami 
Watembeao nawe mwisho wa safari hufika

Tembea nami, usinawache pekee 
Nishike wangu mkono, uniongoze
Tembea nami, usinawache pekee 
Nishike wangu mkono, uniongoze

Nikae nawe Kristo
Mi nataka kuwa na wewe
Katika kila jambo na hali 
Yesu tembea nami

Nikae nawe Kristo
Mi nataka kuwa na wewe
Katika kila jambo na hali 
Yesu tembea nami