DOWNLOAD HAIMAANISHI BY JOLIE - MP3, MP4 & LYRICS

Title Haimaanishi
Artists Jolie
Genres Afrobeats RnB
Country Tanzania

Haimaanishi Lyrics

Hautaki ata niulize
Ulikuwa wapi
Jibu lako kubwa ni ubize
Na washikaji
Mimi nilitoka machozi mwanzoni
Now nishazoea
Mikki na vitimbi ni mapeenzi
Najaribu kuiforce furaha nisikukere
Labda ukimya wangu unakupa raha ni sielewi
Nimeamua niachae makelele
Maka siki ukae unielewe
Sikulizi ili nikukere nakujali
Nimeamua niache makelele
Mpaka siku uake unielewe
Kwamba  mimi ndo yule (ndo yule)

[CHORUS]
Haimaanishi
Siangaiki nawe kwenye akili yangu
Haimaanishi
Upendo wako uwe fimbo au pingu kwangu
Sio rahisi
Nisahau sura yako kwenye mboni yangu
Sio rahisi
Kuiandika taraka kwa vidole vyangu

Japo sijui kusoma na picha nimeiona (nimeiona)
Una mpango wa kando nafsi yangu unaichoma aah
Nikikuuliza maswali unakoloma
Kumbatia uongo ila ukweli uakuponya ah
Nimeamua niache makelele
Mpaka siku uakae unielewe
Sikuulizi ili nikukere nakujali
Nimeamua niache makelele
Mpaka siku ukae unielewe
Kwamba mimi ndo yule (ndo yule)

[CHORUS]
Haimaanishi
Siangaiki nawe kwenye akili yangu
Haimaanishi
Upendo wako uwe fimbo au pingu kwangu
Sio rahisi
Nisahau sura yako kwenye mboni yangu
Sio rahisi
Kuiandika taraka kwa vidole vyangu ooh
Oh yeah yeah yeah….

Wacha niuchunge ulimi
Usije ukaponza kichwa
Bora niuchunge ulimi wangu
Usije ukaponza kichwa
Kichwa
kichwa