DOWNLOAD NI YESU BY JONAH WATS - MP3, MP4 & LYRICS

Ni Yesu Lyrics

Mungu wabaraka ninani
Ni yesu....
Mungu mwenye nguvu ninani
Ni yesu....
Atambuza abalema ninani
Ni yesu.... 
Ooooh ni nani
Ni yesu

Your love is amaizing aaah
Onavyenye umetupenda wako
Uliamusha lazaro aaaah
Lipi langu litalo kushinda
Wewe nimwaminifu bwana 
Sifa na heshima baba pokea
Wewe ni mwaminifu bwana 
Sifa na heshima baba pokea
Unasitahili kuinuliwa 
Unastiahili kushujudiwa
Unastahila kushujudiwa 
Ye lele....

Your the god of blessing nahh
I worship you today
Ooh god you do might miracals
I lift up your name
I lift up your name

Your the god of blessing 
Higher, Higher
You never let down those who trust in you
You are a faithful god
You are a faithful god