DOWNLOAD MAKERIBU BY JOSHUA LUGENDO - MP3, MP4 & LYRICS

Makeribu Lyrics

Halellujah, Halellujah, Halellujah
Halellujah, Amen ehee. Halellujah Ameen.

Makerubi Maserafi, Wanaimba Halellujah.
Oooh, Halellujah, Halellujah
Halellujah, Ameen.
Hao Makerubi Maserafi, Wanaimba Halellujah.
Oooh, Halellujah, Halellujah
Halellujah, Ameen.

Makerubi Maserafi, Wanaimba Halellejah.
Oooh, Halellujah, Halellujah
Halellujah, Ameen

Wanainama mbele zako, wanalisifu jina lako.
Halellujah wanaimba Halellujah Ameen
Nasi bwana tunainama Mbele zako tunalisifu jina lako.
Haleelluja, Haleellujah Ooo Makerubii.

Makerubi Maserafi, Wanaimba Halellujah.
Oooh, Halellujah, Halellujah
Halellujah, Ameen

Hook
Sema Halellujah 
Halellujah, Halellujah, Halellujah 
Halellujah, Ameen

Wanasujudu wakisema Solo
Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu (Back)
Mtakatifu, Aaamen.