DOWNLOAD WEWE WATOSHA BY JOY AMBALE - MP3, MP4 & LYRICS

Title Wewe watosha
Artists Joy Ambale
Genres Gospel
Country Kenya

Wewe watosha Lyrics

Bwana, tumekuja kwako 
Kuliinua jina lako 
Kwani wewe watosha 
Wewe furaha yetu
Wewe watosha

Tunainua mikono yetu 
Kusema we Bwana 
Katuokoa kutoka mautini 
Tunasema we Bwana 
Tunakiri uwezo wako
Wewe watosha

Watosha 
Bwana wewe watosha 
Wewe watosha