DOWNLOAD TUMAINI BY JOYCE OMONDI - MP3, MP4 & LYRICS

Tumaini Lyrics

Maisha yangu usalama mkononi mwako
Nakuhitaji wewe tu, umetosha
Sitaogopa chochote ushafika mbele yangu
Ninaye Mwanga

Baba niongoze, nilinde
Hadi unaponitaka
Ee Baba niwezeshe, nishikilie
Hadi nimalize safari

Umenipangia mema, mema Tumaini la baadaye nilipate

Hamna heri na kusaka mali ya dunia
Hazina yangu iwe kwako
Nitakufuata milele, moyo wangu wakutamani
Nasitatosheka

Baba niongoze, nilinde
Hadi unaponitaka
Ee Baba niwezeshe, nishikilie
Hadi nimalize safari

Umenipangia mema, mema Tumaini la baadaye nilipate

Tumaini langu ni kwako
Nakutazamia, nategemea, nakukimbilia

Umenipangia mema, mema Tumaini la baadaye nilipate