DOWNLOAD KESHO YANGU BY JUSTUS MYELLO - MP3, MP4 & LYRICS

Title Kesho Yangu
Artists Justus Myello
Genres Gospel
Country Kenya

Kesho Yangu Lyrics

Kesho yangu... aaah
(Terrence on the track)

Maisha safari kila mja anayake
Zamu kaza mwendo usichoke (Kazana)
Leo si kama jana mama alishasemaga 
Mwana jikaze sana (Pambana)

Najua siku inakuja 
Nyota yangu ing'are
Kimziki nitoke
Ndoto zangu zitambe

Ninunue kamotokaa, hata Runda nitakaa eeh
Na bado unaniandaa kwa kiwangio kingine 
Ninunue kamotokaa, hata Runda nitakaa eeh
Na bado unaniandaa kwa kiwangio kingine

Eeh Baba eeh najua walimwengu wabaya
Na baba eeh ndo wangu msaada

Kesho kesho yangu, imehakikishwa
Kesho kesho yangu, ndani ya Yesu ni salama
Kesho kesho yangu, itakuwa shwari
Kesho kesho yangu, hakuna majonzi ni salama

Leo hii nala kwa mapipa
Deni nashindwa kulipa
Mavazi malazi shida
Kwangu matatizo mbona?

Hata wengi wanikere
Wanionee gere
Nazidi kusonga mbele
Mbele, mbele

Hapa duniani we ndo wangu wa dhati
Nakuamini hadi mwisho wa dahari