DOWNLOAD UMENIKAMATA BY JUX - MP3, MP4 & LYRICS

Title Umenikamata
Artists Jux
Genres Afrotrap
Country Tanzania

Umenikamata Lyrics

Nisikilize ninavyoimba imba
Na Pia Navyopiga Gitaa
Naona Watu wamependeza
Nyuso zao zimejaa Furaha Furaha,Ahhh

Najua Ujue Leo hii
Kitatokea nini
Najua Ujue Leo Hii
Nitakuambia nini Nitakuambia nini,Darling

I do These For You these for You
I Do these For You these for You I  do these for you
I do these for you  i do these for you
These for you i do these for you
I do these for you i do these for you
These for you

Najua napenda Kukuona wewe
Ukiwa na Furaha 
Najua Thamani na Heshima Yako
Kweli Unanifaa

Umenikamata Weee
Umenikamata

Haki ya Mungu Wewe Ni Mzuri
You Are so Beautifull
Na Mungu Kakujalia
Huna Chembe Ya Kiburi
Wewe ni msafi wa Roho

I Dont Wanna Let You
Go

I wanna Marry You
Girl And Nothing Comes Between Us

Am Gonna Give You
My Loving and Make them
Wanna be us

I do These For You these for You
I Do these For You these for You i do these for you)
I do these for you  i do these for you
These for you  i do these for you
I do these for you i do these for you
These for you

Najua napenda Kukuona wewe
Ukiwa na Furaha 
Najua Thamani na Heshima Yako
Kweli Unanifaa

Umenikamata Weee
Umenikamata

Mamy Namuomba Mungu
Akulinde Akulinde
Akutunze na watoto uniletee
Wewe ni Furaha Yangu Yangu
Maisha Yangu ni wewe
Ni weeee

Najua napenda Kukuona wewe
Ukiwa na Furaha ahhhh
Najua Thamani na Heshima Yako
Kweli Unanifaa

Umenikamata wee
Umenikamata