DOWNLOAD NAIPENDA CCM BY K2GA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Naipenda CCM
Artists K2Ga
Genres Bongo Flava
Country Tanzania

Naipenda CCM Lyrics

CCM, CCM, CCM, CCM
We utaipenda bendera utaipenda (CCM)
Inavyopepea kwa madoi doi 
We utaipenda (CCM)
Yenye rangi mbili njano na kijani
We utaipenda (CCM)

We utakipenda, chama utakipenda (CCM)
Hazina hazina kipoli mara we utakipenda
Wapinzani iwapo kima kumi ila wanashindwa
Wanatetema wanahenya henya hao

Magufuli ndo mwenyekiti wetu mi nampenda
Kwa kauli yake ya hapa kazi tu
Wala usijepiga 
Elimu bure, huduma za afya usiseme
Corona kule, Umi mwalimu hoyee

Mimi nakipenda, chama nakipenda (CCM)
Enzi na enzi na kinafanya kazi
Mi nakipenda (CCM)
Ni kimbio tanu chama cha mapinduzi
Mi nakipenda (CCM)
Na kimenilea mpaka nimekua
Ooh nakipenda

Watake wasitake, shauri zao
Watajijua leo, shauri zao
Ni kilio cha mabwana, shauri zao
Watalia jamani, shauri zao

Najipanga vizuri, jamani wima
Wapinzani mwaka huu mtajuta (Shauri zao)
Wajumbe aah walikuwa makini

Mfungua njia Nyerere
Akafuata na Mwinyi
Akaja Mkapa, akamwachia Kikwete

Alele ale Magufuli ndiye kiboko yao
Alele ale Magufuli ndiye kiboko yao
Alele lele CCM ndio kiboko yao
Alele lele CCM ndio kiboko yao hao

Mimi nakipenda, chama nakipenda (CCM)
Enzi na enzi na kinafanya kazi
Mi nakipenda (CCM)
Ni kimbio tanu chama cha mapinduzi
Mi nakipenda (CCM)
Na kimenilea mpaka nimekua
Ooh nakipenda

Watake wasitake, shauri zao
Watajijua leo, shauri zao
Ni kilio cha mabwana, shauri zao
Watalia jamani, shauri zao

Najipanga vizuri, jamani wima
Wapinzani mwaka huu mtajuta (Shauri zao)
Wajumbe aah walikuwa makini

Mama Samia (Alelele alele alele)
Dr Sheni (Alelele alele alele)
Kassim Majaliwa (Alelele alele alele)
Bashiru (Alelele alele alele)
Pole pole (Alelele alele alele)
CCM (Alelele alele alele)
Ale

Watake wasitake, shauri zao
Watajijua leo, shauri zao
Ni kilio cha mabwana, shauri zao
Watalia jamani, shauri zao

Najipanga vizuri, jamani wima
Wapinzani mwaka huu mtajuta (Shauri zao)
Wajumbe aah walikuwa makini