DOWNLOAD SHUKRANI BY KAMBUA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Shukrani
Artists Kambua
Genres Gospel
Country Kenya

Shukrani Lyrics

Mungu wa furaha yangu
Wajua kunifurahisha hey
We ni Mungu wa kicheko changu
Wajua kunichekesha kweli

Mungu wa amani yangu
Wajua kunipa amani
Mungu wa imani yangu
We walinda wokovu wangu

Kwa yale yote umetenda
Niruhusu nitoe shukurani
Niruhusu nitoe shukurani
Niruhusu nitoe shukurani
Niruhusu nitoe shukurani

Ni wewe una uwezo
Wa kuona huzuni uliofichwa chini ya kicheko changu
Ni wewe una uwezo
Wa kuona vidonda vya ndani
Vidonda vya roho

Ni wewe una uwezo
Wa kuponya vidonda vya ndani
Vidonda vya roho yangu

Kwa yale yote umetenda 
Niruhusu nitoe shukurani
Niruhusu nitoe shukurani
Niruhusu nitoe shukurani
Niruhusu nitoe shukrani

Niruhusu niimbe, wimbo wako
Niruhusu niimbe wema wako
niruhusu niimbe wema wako
Niruhusu niimbe wema wako

Niruhusu nitoe shukrani
Niruhusu nitoe shukrani
Niruhusu nitoe shukrani
Niruhusu nitoe shukrani

You are my great and exceeding compensation
You restore me, You heal me
And Yes You are still a good, good father