DOWNLOAD TABU BY KAREN - MP3, MP4 & LYRICS

Tabu Lyrics

Ukija niacha moyo wangu Nitaumia sana mie
Ndomana nikikuona mwili wote unanitutusika eeh
Kua nawe sina hakika ,utaniua wee!
Mi kunipa pendo lako
Kwangu imekua kama njozi,hata pale tufikapo
Amini naumwa homa!
We sio wa sampuli wala sample
kwangu umekua kama dozi,
Hata pale niangukapo,Awe unaniinua savipi ukiniacha?

[CHORUS]
Me nitapata tabu oooh tabu!
Me nitapata tabu oooh tabu!
Me nitapata tabu oooh tabu!
Me nitapata tabu oooh tabu!

[VERSE 2]
Niko na wewe,kinywa hakineni
Yanini niandikie mate
Eti kipya kinyemi maneno ya uvumi yasinichachafye!
Mimi umenifunga semi kwa rafikizo baba usintangazie
Ona mana fisi bucha hasusiwi hata buti haing'ai bila kiwi
Malumbano kando hayatakiwi
Ona mana fisi bucha hasusiwi hata buti haing'ai bila kiwi
Malumbano kando hayatakiwi
Sasavipi ukiniacha?

[CHORUS]
Me nitapata tabu ooooh tabu!
Me nitapata tabu oooh tabu!
Me nitapata tabu oooh tabu!
Me nitapata tabu oooh tabu!

[BRIDGE]
Tujikongoje tara tara..Taratibu kokote sisi tutafika
Visiwani bara bara..Majaribu usitetereke yatakwisha

[CHORUS]
Me nitapata tabu oooh tabu!
Me nitapata tabu oooh tabu!
Me nitapata tabu oooh tabu!
Me nitapata tabu oooh tabu!