DOWNLOAD BAO BY KASSIM MGANGA - MP3, MP4 & LYRICS

Bao Lyrics

Sokota, sokota nakupatia mkongo
Hii nyama kidogo do 
Sinanga mechi za dondo
Ukila dondo usongo

Si chururu chuku chuku
Si ndururu za kasuku

Natikisa nyavu
Nimefall in love to you you
My show I love you baby, nakuzimia
My show I love you baby

Lamba ugoko(Bao) 
Kushuti(Bao)
Kwa kichwa(Bao)

Lamba ugoko(Bao) 
Kushuti(Bao)
Kwa kichwa(Bao)

Nimesanuka maseke
Wanafukuzia vicheche
Napiga goti navisha pete
Umechanua chanu mtende

Bolizo bolizozo
Natetema
Bolingo ya solo
Natetema

Natikisa nyavu
Nimefall in love to you you
My show I love you baby, nakuzimia
My show I love you baby

Lamba ugoko(Bao) 
Kushuti(Bao)
Kwa kichwa(Bao)

Lamba ugoko(Bao) 
Kushuti(Bao)
Kwa kichwa(Bao)

Kagere na kipa(Bao)
Msuva zungusha(Bao)
Samata!(Bao)
Bao! Bao! Bao!

Lamba ugoko(Bao) 
Kushuti(Bao)
Kwa kichwa(Bao)

Lamba ugoko(Bao) 
Kushuti(Bao)
Kwa kichwa(Bao)