DOWNLOAD SILIPIZI BY KASSIM MGANGA - MP3, MP4 & LYRICS

Silipizi Lyrics

He eeh
Yanini npasukwe roho
Napenzi lateketea
Kwanini nibaki nalo
napenzi lishajifia
Siyafanyi majigamboo
Nimempata mwengineewe
Wacha nililie kandoo nibembelezwe na yeeye

Bora kuyajua mapenzi mwisho jelaaha
Ila naomba duaa yasiijilee hayaa
Silifanyi mailipizi
Ila moyo umechaguaa
Mapenzi yako siwezi
Wazimu yanisumbuaa
Uponyekikwajiezi
Wala mganga kuagua
Mwisho ningekua chizi
Waseme umenikimbia

Ati mahaaba sina
Nautajili wangu wa jina
Nitakusumbuaa umaarufu maraadhi
Wao wanajua kuyahukumu mapenzi ya watuu

Ati mahaaba sina
Nautajili wangu wa jina
Siilii mapita na wewe
Ila nimefika mwishoohohoho
Wala siita vutana na wewe
Tukatoana jashoohohoho

Silifanyi malipizi
Ila moyo umechaguaa (umechaguaa)
Mapenzi yako siwezi
Wazimu yanisumbuaa (wowowo)
Uponyeki kwajiezi wala mganga kuagua
Mwisho ningekua chizi waseme umenikimbia
Bonge la toto penzi ameliweka juu ( juu juu juu)
Kwake nmesettle roho ani iweke juu ( juu juu juu)
Silifanyi mailipizi
Ila moyo umechakua
Mapenzi yako siwezi
wazimu yanisumbua (yanisumbuuaa)
Uponyeki kwa jiezi wala nganga kuagua
Mwisho ningekwa chizi
waseeme umenikimbia (aahh)
Mwisho ningekwa chizi waseeme umenikimbia yaya