DOWNLOAD NDOA BY KATE ACTRESS, MR SEED - MP3, MP4 & LYRICS

Ndoa Lyrics

Kwa kutuleta pamoja
Ni kwa mpango wa Mungu
Ili tuwe pamoja

Na hii ndo ile siku
Nimekuwa nikingoja kwa sana
Hii ndo ile siku mama ah
Nimekuwa nikingoja kwa sana

Yaani leo ni leo tunafurahi leo
Penzi letu litanoga leo
Yaani leo ni leo tunafurahi leo
Penzi letu litawachoma leo

You know I love you babe
I want you hunnie
You know I love you babe
My hunnie my sweetie my sugar
My cherrie my love love bae

Na tunafunga ndoa, aah ndoa
Na tunafunga ndoa my cherrie baby
Na tunafunga ndoa, aah ndoa
Na tunafunga ndoa my baby my hunnie

Yaani leo ni leo tunafurahi leo
Penzi letu litanoga leo
Yaani leo ni leo tunafurahi leo
Penzi letu litawachoma leo

Ni wewe unafanya ni feel like a woman
woman a woman a woman
Vile unanipenda baby nafeel like a woman
A woman a woman

And I’ll make you feel like a real man
A real man a real man
So I wanna spend my life with you
Baby, baby eeh

Na me nataka baby, tukue wazee
Mimi na wewe
Na ningependa sherie 
Unipee watoto kumi na mbili

Yaani leo ni leo tunafurahi leo
Penzi letu litanoga leo
Yaani leo ni leo tunafurahi leo
Penzi letu litawachoma leo

You know I love you babe
I want you hunnie
You know I love you babe
My hunnie my sweetie my sugar
My sherrie my love love bae

Na tunafunga ndoa, aah ndoa leo
Na tunafunga ndoa my cherrie baby
Na tunafunga ndoa, oo ndoa leo
Na tunafunga ndoa my baby my hunnie
 
I love you babe
I want you hunnie
You know I love you babe
My hunnie, my sweetie, my sugar, my sherrie
My love love bae

Na tunafunga ndoa, aah ndoa leo
Na tunafunga ndoa my sherrie my baby
Na tunafunga ndoa, ooh ndoa leo
Na tunafunga ndoa my baby my hunnie