DOWNLOAD NAANGALIA KIUNO BY KELECHI AFRICANA - MP3, MP4 & LYRICS

Naangalia Kiuno Lyrics

Kakiinama kama kamekaa
Kashepu kake chupa ya kola
Aki ya Mungu mi kananiroga
Kakiinama ki mashallah

Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno
Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno
Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno
Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno

Akikubali kwenda nami eeh
Mi nakapa vitu yaani mpaka che eh
Hunnie zima feni nipepee
Kama ni kiu sema maji nikuletee

Kakiinama kama kamekaa
Kashepu kake chupa ya kola
Aki ya Mungu mi kananiroga
Kakiinama ki mashallah

Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno
Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno
Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno
Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno

Yaani kashepu kama vile Huddah
Nadhani mwaka ujao katafika Vera
Yaani kashepu yaani kama ka Hamisa
Aki ya Mungu ananimurder yeah

Naangalie eh, naangalia kiuno cha 
Naangalie eh, kiuno cha Jovial
Naangalie eh, kiuno cha Nadia
Naangalie eh, Kiuno cha Akeelah

Kakiinama kama kamekaa
Kashepu kake chupa ya kola
Aki ya Mungu mi kananiroga
Kakiinama ki mashallah

Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno
Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno
Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno
Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno