DOWNLOAD NITAZOEA BY KELECHI AFRICANA - MP3, MP4 & LYRICS

Nitazoea Lyrics

They call me fleek boss

I remember once you told
You do love me, love love me 
I remember once you told
You'll never leave me leave me

Imekuwa hadithi leo
Everybody talking mbona tumeachana
Waliotabiri eeh bila pingamizi
Ona yametimia

Kovu ulilonipa walahi sijapona
Ata moyo kupenda unaogopa
Kosa nilofanya walahi sijaona
Yeah aah

Nitazoea mi, nita
Nitazoea mimi aah
Nitazoea mi, nita
Nitazoea nitazoea

Nitazoea mi, nita
Nitazoea mimi aah
Nitazoea mi, nita
Nitazoea nitazoea

Walinikanya ila sikusikia
Ona hurumia moyo wangu
Mapenzi kipenzi 
Mwiba wa kujidunga pole hauna

Sikusikia la mwathini
Wala la mteka maji msikitini
Amenipa uchizi kutwa mawazoni
Moyo unauma

What she gonna remember me for real
Sikumnyima hata alfajiri
What goea around comes around baby
You better know karma is a bitch

Kovu ulilonipa walahi sijapona
Ata moyo kupenda unaogopa
Kosa nilofanya walahi sijaona
Yeah aah

Nitazoea mi, nita
Nitazoea mimi aah
Nitazoea mi, nita
Nitazoea nitazoea

Nitazoea mi, nita
Nitazoea mimi aah
Nitazoea mi, nita
Nitazoea nitazoea

I remember once you told
You do love me, love love me 
I remember once you told
You'll never leave me leave me

Nitazoea mi, nita
Nitazoea mimi aah
Nitazoea mi, nita
Nitazoea nitazoea

Nitazoea mi, nita
Nitazoea mimi aah
Nitazoea mi, nita
Nitazoea nitazoea