DOWNLOAD YOTE BY KELECHI AFRICANA - MP3, MP4 & LYRICS

Yote Lyrics

irl you know, ninavyokupenda sina pindo
Moyoni mwangu umezagaa
Shingo, kwako navunja
Nyuma pindo hapa siondoki nakaa

Alakulhali habiti(Aha)
Cha mtende nipe mimi(Aha)
Navyokumiliki kama binti
Na nyimbo nzuri naimba mimi

Nishapendwa, mi napendwa
Walio single hamnipati tena
Nishapendwa, mi napendwa
Kama ka-video weka play tena

Yote yote, yote eeh
Ananipa yote yote, yoote eeh
Ananipa yote yote, yoote eeh
Ananipa yote yote, yoote eeh

Nimelika kawaridi 
Acha linidhuru, acha linidhuru
Msimu wa baridi 
Chumbani tuzuru, chumbani tuzuru

Moyo wangu kama kama kama unapenda mbio
Nikimwona mi nadata nadata
Yaani kama mti nakapanda kupanda
Katu siachani naye

Alakulhali habiti(Aha)
Cha mtende nipe mimi(Aha)
Navyokumiliki kama binti
Na nyimbo nzuri naimba mimi

Nishapendwa, mi napendwa
Walio single hamnipati tena
Nishapendwa, mi napendwa
Kama ka-video weka play tena

Yote yote, yote eeh
Ananipa yote yote, yoote eeh
Ananipa yote yote, yoote eeh
Ananipa yote yote, yoote eeh

Yeii aaah, ananipa ooh...

Yote yote, yote eeh
Ananipa yote yote, yoote eeh
Ananipa yote yote, yoote eeh
Ananipa yote yote, yoote eeh