DOWNLOAD KOROGA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Koroga
Artists
Genres Afropop
Country Kenya

Koroga Lyrics

Masauti, Kenyan Boy 
(It's Bonga), 001
Mmmh mmmh ...

Penzi lake mwana shango 
Moyo wangu kwake chambo
Ndo ananifanya nawaza
Chozi langu wapi chanzo
Limegeuka tangazo
Sisemi kanyamaza mmmh

Sa yamenifikaga mani
Yanapuputikaga mani, aki naumia 
Sina pa kushika jamani sijidhamani
Zangia mmmh

Mapenzi gololi nimedema
Ndovu kibori sina jema
Nina mengi ila nashindwa kusema mmh
Mwenzake sifichi zilipenya 
Ata siridhiki nikihema
Japo sio chanda chema

Aah mi umenikoroga, koroga koroga
Yeah umenikoroga, koroga koroga
Mimi umenikoroga, koroga koroga
Aaah umenikoroga, koroga koroga
Aah, umenikoroga....

Labda penzi bahati mi
Kama sina ndio basi najichosha bana mmh
Naezeka mabati naziba nyufa 
Ila yeye ndo analete panya aah

Na mwingine namiss namiss
Naotaga namkiss huenda ndio yeye
Ananiumiza huenda ndio yeye
Bahari yangu nyambizi, huenda ndio yeye
Anaenijulia, huenda ndio yeye

Mapenzi gololi nimedema
Ndovu kibori sina jema
Nina mengi ila nashindwa kusema mmh
Mwenzake sifichi zilipenya 
Ata siridhiki nikihema
Japo sio chanda chema

Aah mi umenikoroga, koroga koroga
Yeah umenikoroga, koroga koroga
Mi umenikoroga, koroga koroga
Aaah umenikoroga, koroga koroga
Aah, umenikoroga....

Ningependezwa hata leo aje
Ama jina mi nimtaje
Ningependezwa hata leo aje
Ama jina mi nimtaje

Koroga koroga, koroga koroga
Koroga koroga, koroga koroga