DOWNLOAD NDOVU NI KUU BY KRISPAH - MP3, MP4 & LYRICS

Title Ndovu ni Kuu
Artists Krispah
Genres Gengeton
Country Kenya

Ndovu ni Kuu Lyrics

Ndovu ni kuu
Ah ah ah ah
Na itabidi wanijue 
Ah ah ah
Basi weka mkono juu
Ah ah ah 
Yes you,
Ah ah ah, you...

Vile na bambam
Polisi wana ubaya 
Dame yako vile mahanjam 
Namimi sina ubaya 
Kosea uniite handsome husikii hizo ni hekaya 
Felicia na lisa 
Hivo ndo mi niliwa acquire 
Cheki 
Tulikuwa na pamela shule moja ndani ya kwaya
Siku hizi vile anameza mara moja utagwaya 
Na anaringia sana flat tummy hana taya 
Ako na kila kitu kitu hanaga ni haya

Mtoto wangu akiitwa ku ntakataa
Hakunaga masomo ku nimekataa
Unapeleka mtoi first year introduction 
Baada ya wiki mbili ashajua reproduction

Ndovu ni kuu
Ah ah ah ah
Na itabidi wanijue 
Ah ah ah
Basi weka mkono juu
Ah ah ah 
Yes you,
Ah ah ah, you...