DOWNLOAD ACHA WAONE BY KUSAH - MP3, MP4 & LYRICS

Title Acha Waone
Artists Kusah
Genres Bongo Flava
Country Tanzania

Acha Waone Lyrics

Acha waone, waone
Acha waone
Acha waone, waone
Acha waone

Eti mwana hafikishi dem
Bila kadawa hapigi game
Anasema hata akienda sehemu
Akikosa demu anaondoka na shemu

Si anasema ukilewa ubebe
Unatapika unarudisha change
Unazima kabisa husomeki'
Acha waone

Hujiwezi huna hata breki
Unatukuta una tu overtake
Koko mingi unajiona keki

Na watajuta eeh
Tunajirusha eeh
Tunajirusha eeh
Hadi kunakucha eeh

Acha waone, waone
Acha waone
Acha waone, waone
Acha waone

Huyu dada akilewa anashida
Anachanganya anamix na widaa
Na vituko anamshinda Rashida
Ukiomba namba anakupa ya NIDA

Tunajirusha eeh
Hadi kunakucha eeh

Acha waone, waone
Acha waone
Acha waone, waone
Acha waone

Wahuni wahuni mpaka kule wahuni
Wahuni wahuni msiniangushe wahuni
Wahuni wahuni mpaka kule wahuni
Wahuni wahuni msiniangushe wahuni

Wahuni wahuni twende juu wahuni
Wahuni wahuni msiniangushe wahuni