DOWNLOAD MY VALENTINE BY KUSAH - MP3, MP4 & LYRICS

Title My Valentine
Artists Kusah
Genres Bongo Flava
Country Tanzania

My Valentine Lyrics

Nimekupenda pesa
Nimependa sura
Nimependa kila kitu kwako

Mungu kampa bori kampa jicho
Kambariki vyote vilivyopo
Nataka nimfiche kwa kificho
Niepuke walimwengu na vijicho

Tushaanza hadi kufanana
Tunaringia upendo tunapendana
Michezo ya kurushana
Na tumimia usiku ni kukandana

Mi na baby tumekula dear mini
Mi na baby
Yaani kidedi imebaki fungwa ndoa
Mi na baby

Mi na baby tumekula dear mini
Mi na baby
Yaani kidedi imebaki fungwa ndoa
Mi na baby

You are my valentine
You are my valentine
You are my valentine
You are my valentine

Walai umejaliwa
Nimetafuta hadi kasoro sijaona
Ni kweli nimezidiwa
Umenishika kwa mtima nimekomaa

Mzima mzima nitekenya
Acha wanicheke we
Mbagala mi we Temeke

Tushaanza hadi kufanana
Tunaringia upendo tunapendana
Michezo ya kurushana
Na tumimia usiku ni kukandana

Mi na baby tumekula dear mini
Mi na baby
Yaani kidedi imebaki fungwa ndoa
Mi na baby

Mi na baby tumekula dear mini
Mi na baby
Yaani kidedi imebaki fungwa ndoa
Mi na baby

You are my valentine
You are my valentine
You are my valentine
You are my valentine