DOWNLOAD NAKUPENDA (PART 1) BY KUSAH - MP3, MP4 & LYRICS

Title Nakupenda (Part 1)
Artists Kusah
Genres Bongo Flava
Country Tanzania

Nakupenda (Part 1) Lyrics

Ilianza kama stori
Ni historia
Ninapendeza kweli kweli
Ni historia

Mashallah amejaliwa
Ana sifa zote za kusifiwa
Nampenda, nampenda

Wacha mimi wakiniona na suti
Naona shelana
Kanisani tukipiga magoti 
Tukiapa nawe

Ndipo watasema sijatania
Nakupenda oh mama mia
Uzuri wako we asilimia mia mia
Hakuna kama we mimi nakulilia

Oooh oh oh oh oh, oh oh oh oh
Hakuna kama wee, dada wee
Oooh oh oh oh oh, oh oh oh oh
Mi kwako nimefika tamati

Kutazama kushoto kulia nakuona wewe tu
Kwenye dunia hii, tumeumbwa wawili 
Ni mimi na wewe tu

Sasa usije iba furaha yangu
Mi ukaondoka nayo
Nitalia, lia lia 
Nitaumia mama
Nitalia, lia lia ...