DOWNLOAD NILIKUDANGANYA BY KUSAH - MP3, MP4 & LYRICS

Title Nilikudanganya
Artists Kusah
Genres Afro-soul
Country Tanzania

Nilikudanganya Lyrics

Mhmmmm
Nisameheeeee
Nilikudanganya

Nilikutumia vikopa kusema nakupenda siyooo
Eti rashidi kapiga saa sita usiku siyooo
Eti chode kazidiwa leo nalala kwake
Maaana yuko peke yake
Mhhmmmm
Nilikudanganya danganya
Juzi nimetoka kukutenda
Nikakupost kwanba nakupenda
Nikazidisha penzi na madenda siyooo
Nakumbuka ulinifumania
Nikakataa nikakubishia
Nikalia nilikuidizia ni uongoo uwoo
Nataka sa hivi niache upaka
Nataka sasa hivi niweke mipaka
Nataka sasa hivi nitulieeeee
Na wewe