DOWNLOAD TWENDE KWA YESU BY LADY BEE - MP3, MP4 & LYRICS

Title Twende kwa yesu
Artists Lady Bee
Genres Gospel
Country Kenya

Twende kwa yesu Lyrics

Twende kwa Yesu mimi nawe
Njia atwonya tuijue
Imo Chuoni na Mwenyewe
Hapa asema Njoo

Na furaha tutaiona
Mioyo ikitakata sana
Kwako Mwokozi kuonana
Imo Chuoni na Mwenyewe
Na milele kukaa

Wana na waje atwambia
Furahini mkisikia
Ndiye mfalme wetu pia
Na tumtii Njoo

Wangojeani Leo yupo
Sikiza sana asemapo
Huruma zake zikiwapo
Ewe kijana Njoo