DOWNLOAD CHORUS BY LADY JAYDEE - MP3, MP4 & LYRICS

Chorus Lyrics

Bongo ee, Bongo Dar es Salaam
Kaa chonjo wee, ndani ya Dar es Salaam
Utalia lia lia, ndani ya Dar es Salaam

Sema unachoweza (Mambo ya fedha)
Fanya unachoweza (Mambo ya fedha)
Mbona unashangaa mambo ya fedha hee

Sema unachoweza (Mambo ya fedha)
Fanya unachoweza (Mambo ya fedha)
Mbona unashangaa mambo ya fedha hee

Tilalila lila hii ninayo kupa ni hali halisi
Tilalila lila sisi na wanyalu tunavyoishi
Tilalila lila hii ninayo kupa ni hali halisi
Tilalila lila sisi na wanyalu tunavyoishi

Macho ni kama watu, mioyoni hawana utu
Ila inatoweka, mabaya yanaongezeka 
Macho ni kama watu, mioyoni hawana utu
Mabaya yanaongezeka

Ama zangu ama zao wakibana wataachia
Wakiziba wakitega we tegua sema nao
Ama zangu ama zao wakibana wataachia
Wakiziba wakitega we tegua sema nao

Kumbe ni waongo wao wenyewe ndo wanaowatokea
Kama ni dem sikiliza, kama unaswali uliza
Hata kama sijamaliza, ah ah sikiliza 
Kama ni dem sikiliza, kama unaswali uliza
Hata kama sijamaliza, ah ah sikiliza

We wako utukufu wako
Amen Amen Baba Amen

Msiache kuongea ongeeni mnavyoweza
Kila mnapoongea sifa zinaongezeka
Msiache kuongea ongeeni mnavyoweza
Kila mnapoongea sifa zinaongezeka

To be with you I feel like 
Am on top of the world
And I wanna stay
Just like Kilimanjaro mountain

To be with you I feel like 
Am on top of the world
And I wanna stay
Just like Kilimanjaro mountain