DOWNLOAD DALA DALA BY LADY JAYDEE - MP3, MP4 & LYRICS

Dala Dala Lyrics

Muda umepita umenifanya nikae chini nitafakari
Kumbe ni mbali tumetoka
Muda umepita umenifanya nikae chini nitafakari

Shida zangu naweka chini, kwako najiamini
Kwa penzi lako mi mateka
Nipe mavitu nikupe mavitu aah
Aenjoy kila mtu hii ndio dhamani ya penzi

Penzi ni dala dala (Dala dala)
Dala dala (Dala dala)
Ukichoka we unashuka
Wengine wanapanda

Penzi ni dala dala (Dala dala)
Dala dala (Dala dala)
Ukichoka we unashuka
Wengine wanapanda

Tururu...
Ya nini nijipe mastress bure (Bure)
Life it's tough, wewe pia tough 
Si nitaumia mwenzio

Lemme life my life 
And you live your life
Ukitaka tuenjoy, ukichoka we sepa
Coz I don't care

Bureee...
Subiri siku moja
Subiri siku saba
Subiri siku nane, bure

Penzi ni dala dala (Dala dala)
Dala dala (Dala dala)
Ukichoka we unashuka
Wengine wanapanda

Penzi ni dala dala (Dala dala)
Dala dala (Dala dala)
Ukichoka we unashuka
Wengine wanapanda

Tururu...
Ya nini nijipe mastress bure (Bure)
Life it's tough, wewe pia tough 
Si nitaumia mwenzio

Lemme life my life 
And you live your life
Ukitaka tuenjoy, ukichoka we sepa
Coz I don't care

Dala dala
Mi mwenyewe nasubiri kila siku dala dala
Bureee...Bureee