DOWNLOAD DON'T GO BY LADY JAYDEE - MP3, MP4 & LYRICS

Don't Go Lyrics

Hold on to me don't go
Hold on to Jaydee don't let it go

Please don't go
Niko hapa nakungoja don't let it go
Niko hapa don't let go
Niko hapa nakuita please don't go

Niko hapa please don't go
Niko hapa nakungoja don't let it go
Niko hapa don't let go
Niko hapa nakuita please don't go

Niko hapa

Na kila siku zinavyokwenda
Nimekaa hapa nakungoja
Ufanye yako umalize
Ili niwe nawe eeh

Vituko vyote na mambo yote
Dharau zote nimepokea
Heshima yote nakupe wewe
Dharau pekee nimepokea ooh

Please don't go
Niko hapa nakungoja don't let it go
Niko hapa don't let go
Niko hapa nakuita please don't go

Niko hapa please don't go
Niko hapa nakungoja don't let it go
Niko hapa don't let go
Niko hapa nakuita please don't go
Niko hapa

Niko hapa, niko hapa

------
Niniola 
------

Niko hapa, niko hapa eeh

Please don't go
Niko hapa nakungoja don't let it go
Niko hapa don't let go
Niko hapa nakuita please don't go

Niko hapa please don't go
Niko hapa nakungoja don't let it go
Niko hapa don't let go
Niko hapa nakuita please don't go
Niko hapa

Ni mapenzi gani hayo, ya upande mmoja
Ni ubadili vipi moyo ili tuwe pamoja 
Ni mapenzi gani hayo, ya upande mmoja
Niubadili vipi moyo unipende kimoja

Please don't go
Niko hapa nakungoja don't let it go
Niko hapa don't let go
Niko hapa nakuita please don't go
Niko hapa