DOWNLOAD KWETU BY LADY JAYDEE, MALKIA KAREN - MP3, MP4 & LYRICS

Kwetu Lyrics

Sioni taabu nakula kwetu nalala kwetu eeh
Yaani sioni tabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, bure mnajisumbua 
Yaani sioni tabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, ya nini mnajisumbua mnajisumbua?

Sioni taabu, nakula kwetu wee
Nalala kwetu sina shida mimi 
Na wala sina karaha

Sijaomba kwenu, sijalala kwenu
Ya nini lakini kunisimanga mimi 
Kila siku niamkapo, kila mahala niendapo
Mwanitaja taja jina langu
Sili kwenu, silali kwenu
Karaha za nini, shida za nini?

Yaani sioni taabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, bure mnajisumbua 
Yaani sioni tabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, ya nini mnajisumbua mnajisumbua?

Yaani mi sioni taabu, nakula kwetu wee
Mwajisumbua 
Sioni tabu, nalewa kwetu 
Nakesha kwetu, yeah

Kila siku niamkapo, kila mahala niendapo
Mwanitaja taja jina langu
Sili kwenu, silali kwenu
Karaha za nini, shida za nini?

Yaani sioni taabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, bure mnajisumbua 
Yaani sioni tabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, ya nini mnajisumbua mnajisumbua?

Sioni taabu, nakula kwetu
Nalala kwetu yeah
Yaani sioni taabu! Sioni taabu!