DOWNLOAD NA IWE BY LADY JAYDEE, MAUNDA ZORRO - MP3, MP4 & LYRICS

Na Iwe Lyrics

Utokapo na uingiapo na uendapo aah oh
Baraka na zikufuate na kila uendapo
Uketipo usimamapo na ulalapo aah ooh
Naiwe, naiwe, na iwe, na iwe

Na iwe, siku ya baraka 
Na iwe, siku ya amani
Na iwe, siku ya upendo
Na iwe, na iwe

Ni baraka tunapokea tunashukuru sana
Kutuinua na kutupenda unatupenda sana
Mwangaza na kubwa nuru twaiona njiani
Tusimame na tukusifu

Naiwe, naiwe, na iwe, na iwe

Na iwe, siku ya baraka 
Na iwe, siku ya amani
Na iwe, siku ya upendo
Na iwe, na iwe

Naonyeshwa upendo wako juu yetu
Ukafanya neno liwe njia kazi yetu
Maisha yetu baraka zako wewe Baba
Nitakusifu kukuabudu daima 
Maisha yetu baraka zako wewe Baba
Nitakusifu kukuabudu daima

Naiwe, naiwe, na iwe, na iwe

Na iwe, siku ya baraka 
Na iwe, siku ya amani
Na iwe, siku ya upendo
Na iwe, na iwe