DOWNLOAD I MISS YOU BY LADY JAYDEE, PAPPY KOJO - MP3, MP4 & LYRICS

I Miss You Lyrics

Aha aha we acha tu I miss you
Ingawa nakufikiria baba nakuwaza kila saa
Tease on my pillow nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani naamini we jirani unipe furaha

-----
Pappy Kojo 

Kutoka siku ya kwanza nilijua kwamba mmh
Itakuwa ngumu sana na nikawaza mmh
Where you are you are far away comeback home
It's not the same without you baby come back home

I need you baby come back home
Tease on my pillow eeh
Narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani
Haielezeki oh I miss you

Aha aha we acha tu I miss you
Ingawa nakufikiria baba nakuwaza kila saa
Tease on my pillow nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani naamini we jirani unipe furaha

Kila siku nafungua pazia asubuhi
Naangalia nje njiani 
Nikidhani pengine siku utarudi
Ili tena niwe furahani natafuta nyayo zako
Narudi nijifariji karibu utarudi nyumbani