DOWNLOAD ANY MORE BY LADY JAYDEE, TID - MP3, MP4 & LYRICS

Any more Lyrics

Talaka sitoi
Kukuwacha sikuwachi
Nalia moyoni
Ndani kwa ndani

Ufisadi umezidi
Chakula kiende
Watoto wanalia 
Nyumbani

Mwenzio sina raha
Unanifanyia hivi kwa nini?
Mwenzio sina raha

Mwenzio sina raha
Unanifanyia hivi kwa nini?
Mwenzio sina raha

Oooh ooooh 
I can't take it anymore
Oooh ooooh 
Tumalize tofauti zetu

Oooh ooooh 
I can't take it anymore
Oooh ooooh 
Tumalize tofauti zetu

1, 2, 3 and Go aha, aah
Oooh beiby slow down
Down down eeeh
Slow down, down down

Najaribu kulewa
Nashindwa kumeza
Nikitaka kupita
Njia imefungwa

Najaribu kulewa
Nashindwa kumeza wewe
Nikitaka kupita
Njia imefungwa aah

Sina hamu
Una madharau wewe
Tabasamu 
Sina tena kwako wewe

Eeh sina hamu
Una madharau wewe
Tabasamu, tabasam
Sina tena kwako wewe

Sina hamu
Hata bure sitaki
Ni afahali
Nikagongwe na gari

(Ooh tembea mbali)

Oooh ooooh 
Kazurure umalize mitaa
Oooh ooooh 
I can't take it anymore

Oooh ooooh 
Kazurure umalize mitaa weee
Oooh ooooh 
I can't take it anymore

Am sorry