DOWNLOAD JUST LIKE THAT BY LAVA LAVA, MR DUTCH - MP3, MP4 & LYRICS

Just like that Lyrics

Baby show me that you want to get down
Yebo, just like that
Oshe, just like that
--
--

[Lava lava]
Eh mwali amejazika 
Kafungasha kibinda(Kibinda mkoi)
Ah, anatutamanisha mgongo wa kibinda
Tumchoche

We nipe vyote vya ndani
Nichanganye ubongo
Viuno vya bara ndo pwani
Dombolo Congo

Aii Selina, oooh Selina
Nipe za kichina china, oooh Selina
Nyonga unavyo imimina, oooh Selina
Nipe za kichina china, oooh Selina