DOWNLOAD NIUWE BY LAVA LAVA - MP3, MP4 & LYRICS

Niuwe Lyrics

Wasafi...

[VERSE 1]
Ana shepu buffalo
Mwendo kama hakanyagi chini
Ah hakanyagi chini)
Jonjo kangarooo
Kafungasha dabo kibini
Dabo kibini
Anakula bia (ndembe)
Kifuani ndondo (ndembe)
Ikipata boda inanyange
Akitembea (dembe dembe)
Yaani kama (mzembe)
Mambo yote mpambe

Eeh okota
Usiogope okota
Eeh okota (Inama inama)
Eeh okota
Usiogope okota
Eeh okota

[CHORUS]
Niuwe! Niuwe!... Niuwe mama niuwe
Niuwe! Niuwe!... Niuwe mama niuwe
Niuwe! Niuwe!... Niuwe mama niuwe
Niuwe! Niuwe!... Niuwe mama niuwe

Kanabinua binu... Kanabinua mgongo
Kanabinua binu... Kanabinua mgongo

[VERSE 2]
Kiuno sakata, nizame topeni
Nisafishe di mbwi mbwi
Mtoto prakata, kiuno shanga, cheni
Kisha uduu di mbwi mbwi
Cheza nikuhonge verosi (aah verosi)
Shaku shaku shogorosi (shogorosi)
Uganda maria rosa (aaah rosa)
Lagos dance makossa (dance makossa)

Eeh okota
Usiogope okota
Eeh okota
Inama inama

Eeh okota
Usiogope okota
Eeh okota
Fanya unachutama

[CHORUS]
Niuwe! Niuwe!... Niuwe mama niuwe
Niuwe! Niuwe!... Niuwe mama niuwe
Niuwe! Niuwe!... Niuwe mama niuwe
Niuwe! Niuwe!... Niuwe mama niuwe

Kanabinua binu... Kanabinua mgongo
Kanabinua binu... Kanabinua mgongo

Kanabinua binu... Kanabinua mgongo
Kanabinua binu... Kanabinua mgongo