DOWNLOAD WAREMBO BY LAVA LAVA, SUSUMILA - MP3, MP4 & LYRICS

Warembo Lyrics

Nimechoka kuwa single, natafuta mrembo
Toka Mombasa, Nairobi
Susumila, fanya madingo
Nimpate Pendo ama Kihara Kobi

Eeeh eeh, vipi Vera Sidika nikiwa naye
Ama atanitenda kama Otile niachane naye
Eeh wabongo mnapenda kiki na masinema
Mbona usiwe na Shishi au Sepetu Wema

Ukiwaona warembo warembo, waguse upotee
Wanapenda skendo skendo, kama kina Akothee
Eeeh eeh kwetu wanapenda pochi kuwa makini
Bora uwe na pochi au officialini

Ya nini mikiki mikiki? Twapoteza muda
Sema vipi nitammiliki mrembo Huddah
Wa kwetu hawaaminiki shahidi buda
Nilimpendaga kibibi akanichuja

Eeeh eh eeh

Nataka warembo wa Mombasa
Warembo wa Mombasa
Warembo wa Mombasa
Nairobi pia

Ungesubiri kwa sasa 
Subiri kwa sasa
Subiri kwa sasa
Unanisikia?

Nataka warembo wa Mombasa
Warembo wa Mombasa
Warembo wa Mombasa
Nairobi pia

Ungesubiri kwa sasa 
Subiri kwa sasa
Subiri kwa sasa
Unanisikia?

Boss wako Diamond kamganda Tanasha
Na Ben Pol naye, wa Anerlisa kanasa
Nami nataka, nipate kigori asinipige chini nikavava
Awe kama mdoli yule wa bwana King(Yeah baba)

Acha masihara, Lava unayumba yumba
Kuna kina Kajala, Hamisa Mobetto na Tunda
Wazuri ni wengi sana, nyumbani kwetu Tanzania
Nilimtaka Irene Uwoya, eti akasema kawaiwa

Ya nini mikiki mikiki? Twapoteza muda
Nisaidie rafik, nasaka buja
Wa kwetu hawaaminiki shahidi buda
Nilimpendaga kibibi akanichuja

Eeeh eh eeh

Nataka warembo wa Mombasa(Wa Mombasa)
Warembo wa Mombasa(Wa Mombasa)
Warembo wa Mombasa
Nairobi pia

Ungesubiri kwa sasa(Siwezi) 
Subiri kwa sasa(Siwezi) 
Subiri kwa sasa
Unanisikia?

Nataka warembo wa Mombasa
Warembo wa Mombasa(Wa Mombasa)
Warembo wa Mombasa
Nairobi pia

Ungesubiri kwa sasa(Nasema siwezi) 
Subiri kwa sasa(Siwezi) 
Subiri kwa sasa
Unanisikia?

Eeeh....
Mombasa Nairobi
Susumila
Lava Lava beiby

Sultan 001