DOWNLOAD TEKENYA BY LAVA LAVA - MP3, MP4 & LYRICS

Tekenya Lyrics

Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto

Kamenitekenya kamenigusa kunako
Eeeh kunako
Kamenitekenya kamenipofua macho 
Eeeh macho

Kanafanya makusudi 
Kama hakataki beepu(Mdoli doli)
Kanafanya nakwenda rudi
Bodaboda pikipiki (Toroli roli)

Kanitekenya! Kanipandisha midadi
Nikimuona beki hazikabi
Kanitekenya! Moyo mpasuko radi
Mapigo mbio bila ya idadi

Shepu lake la Nicki Minaji
Mtoto ananimalizia mtaji
Akili kwake hazihitaji
Natapa tapa kama mfa maji

Teke tekenya(Tekenya)
Kaniteke tekenya(Tekenya)
Amenishika kwenye paja(Tekenya)
Namtaja taja(Tekenya)

Teke tekenya(Tekenya)
Kaniteke tekenya(Tekenya)
Amenigusa kwenye paja(Tekenya)
Yaani mara huku mara hapa(Tekenya)

Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto

Kanitekenya!
Kama gari imepigwa starter
Kanitekenya!
Yaani kama bodaboda imewashwa

Kananitekenya
Kakitingisha tetemente(Tetemente)
Kanitekenya
Ni pata shika mambo yente(Yente yente)

Ooh lala, nitamaliza mikwanja 
Siku nikikamata
Ooh lala, vichaka kwa kiraja
Kuku atampata bata

Kanitekenya! Kanipandisha midadi
Nikimuona beki hazikabi
Kanitekenya! Moyo mpa fuko radhi
Mapigo mbio bila ya idadi

Shepu lake la Nicki Minaji
Mtoto ananimalizia mtaji
Akili kwake hazihitaji
Natapa tapa kama mfa maji

Teke tekenya(Tekenya)
Kaniteke tekenya(Tekenya)
Amenishika kwenye paja(Tekenya)
Namtaja taja(Tekenya)

Teke tekenya(Tekenya)
Kaniteke tekenya(Tekenya)
Amenigusa kwenye paja(Tekenya)
Yaani mara huku mara hapa(Tekenya)

Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto

(Ayolizer)