DOWNLOAD UMESKIA KILIO CHANGU BY LAVENDER OBUYA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Umeskia kilio changu
Artists Lavender Obuya
Genres Gospel
Country Kenya

Umeskia kilio changu Lyrics

Kwa muda mengi nimeteseka aah
Nikuugua magonjwa sugu yaliyoshinda madakitari
Yaliyoshinda wenyi hekima wa dunia
Nilizunguka dunia kote eeh
Nikitafuta uponyaji wangu sikupata
Wewe Mungu umeniponya bure Baba
Umeniponya bila malipo Yesu umeniponya kwa damu yako
Kama sio wewe nitamwabudu nani
Kama sio wewe nitamwabudu nani
Umesikia Baba

Umesikia kilio changu ukanitoa shimoni Yesu
Ukanifanya kiumbe kipya kama sio wewe nitamwabudu nani
Kama sio wewe nitamwabudu nani

Umeniondolea aibu Yesu nilikataliwa ulinikubali Baba
Ulinikubali jinsi nilivyo ukaniokoa kwa damu yako Jehovah
Ukanikomboa kwa damu yako ukanijaza kwa damu yako
Kama sio wewe nitamwabudu nani
Kama sio wewe nitamwabudu nani Kama si wewe

Umesikia kilio changu ukanitoa shimoni Yesu
Ukanifanya kiumbe kipya kama sio wewe nitamwabudu nani
Kama sio wewe nitamwabudu nani

Wewe ni kinga kwa wanyonge wote Baba
Wewe ni kinga kwa wasiojiweza
Wakikumbilia hakuna aibu
Wewe ni Mungu usiyebagua aah
Wewe ni Mungu haulinganishwi
Unapenda wote Mungu muumba aah
Nimekuchagua kati ya miungu Yesu
Kwa damu yako nimekombolewa umeyavuta laana yangu
Umebadilisha historia Bwana
Kama sio wewe nitamwabudu nani Kama si wewe

Umesikia kilio changu ukanitoa shimoni Yesu
Ukanifanya kiumbe kipya kama sio wewe nitamwabudu nani
Kama sio wewe nitamwabudu nani