DOWNLOAD KOLEZA BY LINAH - MP3, MP4 & LYRICS

Koleza Lyrics

[VERSE 1]
Wakiongea usijibu chochote we baki bubu
Me komo yao na hawajui tu
Na furaha imeeleta unaleta amani kwenye maisha yangu
Povu liwatoke wakaroge nitabaki nawe
Mpenzi koleza, Baby koleza
Hawatuoni wanamakengeza
Kengeza
Mpenzi koleza, Baby koleza
Hawatuoni wanamakengeza
Kengeza

[CHORUS]
Inabidi uniamini (aaah eeh)
Kukuacha kazi (kazi)
Usiamini amini maneno ya watu (watu)
Inabidi uniamini (aaah eeh)
Kukuacha kazu (kazu)
Usiamini amini maneno ya watu (watu)

Lele lelele! Jimwa jimwa jimwaage
Lelele!
Lele lelele! Jimwa jimwa jimwaage
Lelele!

[VERSE 2]
Maneno maneno wakikuambia
Nambie eh
Midomo midomo kazi
Yake kuongea wapuuzie
Nitauboresha, boresha
Nitauboresha miee

Mpenzi koleza, Baby koleza
Hawatuoni wanamakengeza
Kengeza
Mpenzi koleza, Baby koleza
Hawatuoni wanamakengeza
Kengeza

[CHORUS]
Inabidi uniamini (aaah eeh)
Kukuacha kazi (kazi)
Usiamini amini maneno ya watu (watu)
Inabidi uniamini (aaah eeh)
Kukuacha kazu (kazu)
Usiamini amini maneno ya watu (watu)

Lele lelele! Jimwa jimwa jimwaage
Lelele!
Lele lelele! Jimwa jimwa jimwaage
Lelele!

[CHORUS]
Inabidi uniamini (aaah eeh)
Kukuacha kazi (kazi)
Usiamini amini maneno ya watu (watu)
Inabidi uniamini (aaah eeh)
Kukuacha kazu (kazu)
Usiamini amini maneno ya watu (watu)

Lele lelele! Jimwa jimwa jimwaage
Lelele!
Lele lelele! Jimwa jimwa jimwaage
Lelele!