DOWNLOAD MABOYA BY LINEX - MP3, MP4 & LYRICS

Maboya Lyrics

Piga nduru kama we sio boya, sio boya
Piga nduru kama we sio boya
Hatutaki mazoea na maboya, na maboya
Hatutaki mazoea na maboya, na maboya

Piga nduru kama we sio boya, sio boya
Piga nduru kama we sio boya, sio boya
Hatutaki mazoea na maboya, na maboya
Hatutaki mazoea na maboya, na maboya

Piga nduru kama we sio boya, sio boya
Piga nduru kama we sio boya, sio boya

Kuna wasanii wakipata show
Wakifika mitaani wanajishow
Utaskia hehe, aah hii hoteli siwezi lala
Kwanza haina pesa kumwaga
Kuna masajuzi? Kuna Spa? Vipi kuhusu jacuzzi

Kuna mshabiki hakuzimii
Mkikutana anataka mselfie
Umpost umtag kwa IG
Mashabiki bana

Umeagiza Henessy
Anakuja mdada anajisnap
Atume kwenye group za Whatsapp
Slayqueen bana

Maboya maboya, ukiwa boya ni boya
Maboya maboya, ukiwa boya ni boya

Piga nduru kama we sio boya, sio boya
Piga nduru kama we sio boya, sio boya
Hatutaki mazoea na maboya, na maboya
Hatutaki mazoea na maboya, na maboya

Piga nduru kama we sio boya, sio boya
Piga nduru kama we sio boya, sio boya

Umeenda samaki ka umeendea bata
Unavuta vuta mida ya daladala
Unagongea gongea mpaka sigara

Watu wa bata bana (Bwana bwana we)
Viwanjani hamkosi  (Bwana bwana we)
Bata lenu mikosi (Bwana bwana we)
Vipi dada umekula? (Bwana bwana we)
Au ni pombe tu unakunywa

Mnavuta vuta tu shisha
Kila siku hamlali mnakesha
Mi natokea uswahilini nimejichanga
Nimejipanga na sijakuja kudanga danga

Maboya maboya, ukiwa boya ni boya
Maboya maboya, maboya maboya

Piga nduru kama we sio boya, sio boya
Piga nduru kama we sio boya, sio boya
Hatutaki mazoea na maboya, na maboya
Hatutaki mazoea na maboya, na maboya

Piga nduru kama we sio boya, sio boya
Piga nduru kama we sio boya, sio boya
Hatutaki mazoea na maboya, na maboya
Hatutaki mazoea na maboya, na maboya