DOWNLOAD UNANITOSHA BY LOMODO - MP3, MP4 & LYRICS

Unanitosha Lyrics

Mahaba mbingu la penzi lanifunika
Abadan sito kukimbia (yeah)
Kifuani, ninapenda ukishika unadeka
Na mambo ya pwani, unanipatia iyeee

Niambie nikupe nini unachokikosa,usibadilike
Kama wewe kufuli mie kitasa, mlango nishike
Na time nikikosa usiende kukopa, unifedheheshwe
Nyumba penzi lisiwe la mateka, lipepee(yeah)

Ona nahisi baridi kutetema
Unikumbatie raha sanaa
Nipee kona,
Mikunju ka summer beach hodari
Mjegejegajii epuka shuruba shuruba aah

Me nawe tufanane, unanitosha kupindukia
Unaendaga nami, unanitosha kupindukia
Kama mboga michupu chupu, unanitosha kupindukia
Iye...iye..iye...iye. Unanitosha kupindukia
Iyo...iyo..iyo...iyo

Tukikosa mchana, tutakula dinner
Siri nitunzie
Sijachana jina, nimembeba heshima
Kwako nitulie

Unipe ulafundi wa nakungwi
Washushuke japo sio mtungi
Tuishie mpaka tulilambe vumbi
Tuwasute walevi na mazombi

Ona nahisi baridi kutetema
Unikumbatie raha sanaa
Nipee kona,
Mikunju ka summer beach hodari
Mjegejegajii epuka shuruba shuruba aah

Me nawe tufanane, unanitosha kupindukia
Unaendaga nami, unanitosha kupindukia
Kama mboga michupu chupu, unanitosha kupindukia
Iye...iye..iye...iye unanitosha kupindukia
Iye...iye..iye...iye
Iye...iye..iye...iye

Ooooh oooh .....
Ooooh ooooh....