DOWNLOAD SAWA BY LOUI - MP3, MP4 & LYRICS

Sawa Lyrics

Eeee! Kwani mapenzi niyawawili
Usijeniacha solemba
Tena uzitunze hizo zangu Siri
Usijeniacha n'kateleza
Baby, Tia pilipili nyanya kachumbali, tuanze lumangia
Mwenzio akili hoi n'shasafiri inasonga njia

Manuari ishazama (Aaawe)
Kwandani Swalama (Nawee)
Navile tunagandana (Aawee)
Tunafanana (Nawee)
Napenda ukin'susia Hooh aah Sana
Shimoni naingia Ooh aah tamu Sana

Hata nisemwe,ning'ong'we hadharani na watu (Sawa sawa sawa)
Kwako tulituli ndo n'shatulia (sawa sawa sawa)
N'takung'ang'ania,n'takushikilia (sawa sawa sawa)
Na ukitaka Mali, nitakupatia (Sawa sawa sawa)

Ona akili yangu Mwenzako Haisomi,
Subakheri N'shakweka Moyoni
Unanipatiaga,Viudambu-udambu
Unaniwezeaga
Naukijifukizaga Aah Alkhabi
Unanimalizaga!

Baby, Tia pilipili nyanya kachumbali, tuanze lumangia
Mwenzio akili hoi n'shasafiri inasonga njia

Manuari ishazama (Aaawe)
Kwandani Swalama (Nawee)
Navile tunagandana (Aawee)
Tunafanana (Nawee)
Napenda ukin'susia Hooh aah Sana
Shimoni naingia Ooh aah tamu Sana

Hata nisemwe,ning'ong'we hadharani na watu (Sawa sawa sawa)
Kwako tulituli ndo n'shatulia (sawa sawa sawa)
N'takung'ang'ania,n'takushikilia (sawa sawa sawa)
Na ukitaka Mali,Nitakupatia (Sawa sawa sawa)