DOWNLOAD MAMA BY LULU DIVA - MP3, MP4 & LYRICS

Mama Lyrics

This goes to all mama's in the world
Diva Divana nawapenda wote
(350)

Hii ni kutoka moyoni nakupenda mama
Hii ndo sababu mwanao kutwa napambana
Kinachonitesa moyoni unaumwa sana
Ila naamini ipo siku utapona

Mama sio yule wa kula mwenyewe
Huwezi simama mwenyewe
Leo mengine siri yangu mwenyewe

Baba ameaga nimebaki na wewe
Na umenizaa mwenyewe
Leo napambana usivunjike imani
Imani yangu mama

Utapona, utapona tena
Mama Lulu Divana
Utapona, utapona mama
Najua Mungu anakuona

Utapona, utapona tena
Mama yangu mama angu
Utapona, utapona mama
Najua Mungu anakuona

Mama Lulu Diva nao
Ah ah ah mmmh mmh

Leo nimekuwa maarufu kidogo, najulikana 
Natamani ungekula matunda ya mwanao mama
Sina kaka sina dada wala mdogo, yaani taabu sana
Rudisha ufahamu kidogo, uniite mwana

Eeeh Mola fanya miujiza, miujiza, miujiza
Mama apone tena

Baba ameaga nimebaki na wewe
Na umenizaa mwenyewe
Leo napambana usivunjike imani
Imani yangu mama

Utapona, utapona tena
Mama Lulu Divana
Utapona, utapona mama
Najua Mungu anakuona

Utapona, utapona tena
Mama yangu mama angu
Utapona, utapona mama
Najua Mungu anakuona

Mama Lulu Diva nao
Ah ah ah mmmh mmh

Poa poa poa poa, mama Divana mama
Poa poa poa poa, mama Samia mama
Poa poa poa poa, Umi Mwalimu mama
Poa poa poa poa, mama Dangote mama